Njia 6 za kujikinga kutokana na virusi vya COVID-19

1. Safisha mikono regularly na thoroughly ukitumia sabuni na maji ama sanitizer for 20 seconds (karibu nusu dakika)

Why? This will kill any viruses that could be on your hands.

2. Maintain at least 1 metre distance kati yako na mtu anakohoa ama kusneeze.

Why? When someone coughs or sneezes wanaspray small liquid droplets kutoka mapua ama mdomo na zinaweza contain virus.

3. Avoid kushika macho, mapua na mdomo.

Why? Our hands hushika surfaces mob na kuokota viruses. Once contaminated, hands can transfer virus to the eyes, nose and mouth na kuingia kwa mwili.

4. Cover your mouth and nose na elbow yako (ikiwa imekunjwa) ama na tissue ukikohoa ama kusneeze. Halafu, tupa ile tissue umetumia immediately.

Why? Droplets kutoka kwa mapua na mdomo zinaweza spread virus.

5. When you feel sick, stay at home. Kama uko na fever, dry cough na shida ya breathing, get medical attention - call 719 ikiwezekana.

Why? This will protect you and help prevent the spread of viruses and other infections.

6. Stay at home. Avoid kutembea sana, especially kama tayari you are sick with diabetes, ugonjwa wa moyo (heart) ama mapafu (lungs).

Why? Uko na higher chance ya kushika virus ukiwa in public na other crowded places.

Uko na fever, dry cough na shida ya kupumua?

Call 719 or Dial *719#

More on Coronavirus

Do you need help?

Join us on WhatsApp ama call us on 0720022885