Ni breakfast gani poa for your children?

First meal of the day! A healthy breakfast ni muhimu kwa growth and development ya watoi.

Ni foods na drinks gani unaweza patia mtoi wako kumake sure wako na a great start kwa life?

Kuna options mob za breakfast unaweza kuchagua kutoka this list. You do not have to give your child all of them, but you unaweza pick a few na kuzibadilisha kila siku. Zinainclude:

 • Plain milk
 • Ngwashi
 • Nduma
 • Cereals kama Weetabix
 • Uji
 • White or brown bread
 • Oatmeal
 • Mayai boiled ama fried
 • Sausages
 • Chapati
 • Chai ya maziwa
 • Fresh juice
 • Mandazi
 • KDF
 • Fruits

Ni nini mtoi wako anaenjoy sana kutake for breakfast? Share with us!

Please log in to comment

Comments

Beatrice Mwangi 7 months, 3 weeks ago:
Chai ya maziwa na maandazi .
Braxy Mirish 1 year, 6 months ago:
Chai ya maziwa Na mandazi
Moderator 1 year, 5 months ago: uafya Trophy
Nice! And adding a fruit or fresh juice too itaimake balanced.
Kadara Bilal 1 year, 8 months ago: uafya Trophy
Chai ya maziwa na bread
Moderator 1 year, 7 months ago: uafya Trophy
Asante Kadara. Unaweza ongezea fruit pia ndio ikuwe a balanced diet for breakfast.