How to add U Afya to your phone

Did you know unaweza weka U Afya kwa home screen ya simu yako?

Soma instructions hapa chini or watch a short video of the steps to take here ▶. Size ya hii video ni ndogo sana (168KB) ili kusave data bundles zako.

Hii itakusaidia kupata U Afya kwa urahisi na haraka.

Quick Tips

Make sure uko na Opera Mini ama Chrome installed kwa simu yako kama browser.

Wallpaper umeweka kwa phone inaweza kukuzuia kupata U Afya kwa home screen yako.


Step 1: Enda kwa browser yako


Step 2: Login kwa U Afya

Click hapa: www.uafya.co.ke and Login ukitumia username na password yako. Kama haukumbuki password yako, click here.


Step 3: Click on the browser menu

Kwa browser yako, utapata menu icon next to the site URL.

 

4. Scroll chini to "Add to Home Screen"

On the menu, look for the option to Add to Home screen. This may look different to the image below, kulingana na browser unatumia.

Kufanya hivi itacreate a new icon where utapata U Afya kwa urahisi! You will now find U Afya kwa phone yako na applications kama WhatsApp na Facebook!

 

Please tell us what you think. Was this useful?

Do you need help?

Ukiwa na shida yoyote na any part of U Afya, send your questions in the Give Feedback section or WhatsApp U Afya to 0720022 885.