News: Kenya Curfew Extended as Infections Increase

Total number ya Coronavirus (COVID-19) infections hapa Kenya imeongezeka hadi 1,214 kufikia 25 May. Kuna effort mob inawekwa kukomesha spread ya hii virus.

Curfew extended na 21 days

Government ya Kenya inatake every measure kuprotect maisha ya Wakenya kutokana na virusi vya Corona. 

On Saturday, May 16 2020, President Uhuru Kenyatta extended curfew ya 7pm to 5am daily nchini na 21 days.

Pia, travel ban in and out of Nairobi, Mombasa, Kwale, Kilifi and Mandera counties kwa sasa iko extended hadi June 6, 2020.

How does this affect me?

What can I do to stop spread ya COVID-19?

Tuendelee kupractise good health hygiene. That is, kusafisha mikono regularly, kuvaa face masks na keeping distance from others in public. This will protect us and our families against Coronavirus (COVID-19). Kupata more tips and advice, click hapa chini.

More on Coronavirus

Do you need help?

Join us on WhatsApp ama call us on 0720022885