COVID-19 inaambukizwa kwa urahisi na ni mara 10 more deadly kuliko homa ya kawaida!
CoronaViruses ni familia ya viruses zinacause ugonjwa kwa animals na watu. Zinasababisha infection ya breathing system (respiratory) kuanzia homa na diseases zingine hatari. Kwa sasa, ile CoronaVirus imekuwa discovered ni hii inaitwa COVID-19.
Common symptoms za COVID-19 ni fever, uchovu, dry cough na shida ya breathing.
Some patients wanaweza pata body aches na pains, runny nose, sore throat ama diarrhoea. Others wanakuwa infected but hawadevelop symptoms zozote and they do not feel sick.
Most people (karibu 80%) wanarecover kutoka CoronaVirus bila kuhitaji special treatment.
Call 719 or Dial *719#
Join us on WhatsApp ama call us on 0720022885