10-Day Handwashing Challenge

A U Afya mum ako committed kuimprove health na hygiene ya familia yake. Uko ready kutake hii challenge ya 10 days?

Vile inawork:

  1. Wash your hands every day, ukifuata challenge ya kila siku.
  2. Come back kwa U Afya website to record your daily challenge as you finish it! 

Kumbuka, unaweza fanya challenge moja tu kwa siku. Take challenge iko available leo hapa chini!

You must be logged in to start the challenge. Click on Join for FREE or Login.